WizKid,IcePrince,Sarkodie,Mokobe and Camp Mula nominated for BET Awards 2012 Best International Act: Africa.

Young, fresh and talented from Nairobi, Kenya known as Camp Mulla are nominated for BET Awards 2012 Best International Act: Africa. For more information click this link.

About

Wednesday, February 29, 2012

HOFU YA VILLA BOAS KUFUKUZWA CHELSEA !

Kwa mara ya kwanza kocha wa club ya soka ya CHELSEA Andre Villa Boas amekiri kuwa anahofia anaweza kutimuliwa kwenye nafasi hiyo ya ukocha kutokana na club kutofanya vizuri. Japo amekiri hivyo katika interview iliyopitia Sky Sports, Villa Boas amesema mmiliki wa club hiyo Bilionea Roman Abramovich bado ana imani nae kidogo japo inaaminika kwamba huu ndio msimu mbaya zaidi kwa chelsea kuwa matokeo mabaya toka bilionea...

WATANZANIA WALIVYOJITOKEZA KWA AJILI YA BIG BROTHER YA MWAKA 2012

Zaidi ya wiki moja iliyopita amplifaya ilikua na stori exclusive kuhusu zaidi ya Watanzania 500 kujitokeza kuchukua fomu za shindano la BIG BROTHER AFRICA mwaka huu, sasa muendelezo wa hii stori kwa leo ni kwamba muda wa kuchukua na kurudisha fomu tayari umekwisha feb 27, na idadi ya watanzania waliorudisha fomu mpaka sasa imetajwa kuwa ni 100 kwa Dar es salaam pekee. Barbara Kambogi afisa uhusiano wa multichoice...

MPIGIE KURA MWANAMUZIKI UMPENDAYE ILI AWEZE KUSHINDA TUZO KWENYE TANZANIA KILIMANJARO AWARDS!

Vote for the bongo artist that you want to win the Kilimanjaro Tanzania awards for the year 2012. To vote click the link below. http://www.kilitime.co.tz/awards/2009/nominees_2007.p...