About

Friday, May 25, 2012

Camp Mulla ndani ya Tunzo za BET Awards 2012

Young, fresh and talented kutoka Nairobi, kenya wanaojulikana kama camp mulla wamevuka boda kwa kupeperusha bendera ya Africa kwenye Tunzo za BET ambazo hufanyika kila mwaka ambapo mwaka jana africa iliwakilishwa na 2face & D'Banj kutoka Nigeria sasa safari hii ni vijana wenye swag za mbele ila kutoka kenya ndio wamechaguliwa katika category ya "Best International Act: Africa category"
Kundi la Camp Mulla linajumlisha vijana wa 5 ambao ni Karun, Yung Kass, Taio Tripper and K’Cous ambao kwasasa wana Hit na ngoma zao tatu ikiwamo ngoma inayoitwa "fresh all day" ambayo wali perfome ndani ya Big Brother Africa siku sio nyingi na kushangiliwa sana kwa show nzuri…
Young, fresh and talented kutoka Nairobi, kenya wanaojulikana kama camp mulla wamevuka boda kwa kupeperusha bendera ya Africa kwenye Tunzo za BET ambazo hufanyika kila mwaka ambapo mwaka jana africa iliwakilishwa na 2face & D'Banj kutoka Nigeria sasa safari hii ni vijana wenye swag za mbele ila kutoka kenya ndio wamechaguliwa katika category ya "Best International Act: Africa category"
Kundi la Camp Mulla linajumlisha vijana wa 5 ambao ni Karun, Yung Kass, Taio Tripper and K’Cous ambao kwasasa wana Hit na ngoma zao tatu ikiwamo ngoma inayoitwa "fresh all day" ambayo wali perfome ndani ya Big Brother Africa siku sio nyingi na kushangiliwa sana kwa show nzuri walioitoa...

Facebook comments brought to you by bongo6