About

Wednesday, February 29, 2012

HOFU YA VILLA BOAS KUFUKUZWA CHELSEA !

Kwa mara ya kwanza kocha wa club ya soka ya CHELSEA Andre Villa Boas amekiri kuwa anahofia anaweza kutimuliwa kwenye nafasi hiyo ya ukocha kutokana na club kutofanya vizuri.
Japo amekiri hivyo katika interview iliyopitia Sky Sports, Villa Boas amesema mmiliki wa club hiyo Bilionea Roman Abramovich bado ana imani nae kidogo japo inaaminika kwamba huu ndio msimu mbaya zaidi kwa chelsea kuwa matokeo mabaya toka bilionea huyo alipoanza kuimiliki 2003.
Villa Boas amejifananisha na aliekua kocha wa Chelsea ambae alitimuliwa Carlo Ancelotti kwa kusema, wakati ambao club hiyo inaupitia sasa hivi unafanana na wakati aliokua anaupitia Ancelotti msimu uliopita wakati kama huu.
Source:http://millardayo.com/

Facebook comments brought to you by bongo6