About

Thursday, March 8, 2012

MBUZI WAKIVUKA BARABARA MAENEO YA KINONDONI


Kamera yetu leo imewanasa Mbuzi hawa wakikatiza Barabara ya Kinondoni jijini Dar huku magari yakiwa yamepanga mruru kusubiri kupita kwa mbuzi hao ambao walikuwa wakizunguka hovyo katika maeneo hayo.

Facebook comments brought to you by bongo6