About

Friday, March 2, 2012

HII NDIO ZAWADI YA BIRTHDAY ALIYOPEWA JUSTINE BIEBER!

Justine Bieber akiwa anashangaa zawadi yake ndani ya show ya TV ya ellen.
Mwimbaji star JUSTINE BIEBER ambae leo ametimiza umri wa miaka 18, amezawadiwa gari aina ya Fisker Karma yenye thamani ya dola laki moja za kimarekani, zawadi ambayo imetoka kwa meneja wake pamoja na Usher Raymond ambapo meneja wake aliamplfy kwamba wameitoa hiyo zawadi kwa sababu Bieber amekua mchapa kazi na anaetaka mabadiliko kila wakati, zawadi ambayo wameitoa pia baada ya kugundua kwamba Bieber anapenda sana magari.
Pamoja na kwamba Bieber amezawadiwa hilo gari, siku kadhaa kabla ya Birthday yake aliandika kwenye twitter akiomba wenye huruma kuchangia dola 18 za kimarekani, ambazo atazipeleka kusaidia kuleta maji safi pamoja na kusaidia wasio na uwezo kwenye baadhi ya nchi zenye mahitaji hayo.
Zawadi aliyo pewa Justin Bieber.


 
 Source:

Facebook comments brought to you by bongo6