About

Wednesday, March 7, 2012

MAAJABU!!!!!!! – HUYU NDIO MTOTO WA MIAKA KUMI ALIEJIFUNGUA MTOTO MWENZIE!

Huyo ndio mtoto Gladys Chelagat mwenye umri wa miaka kumi aliyejifungua kitoto kichanga huko Nigeria, ni mwanafunzi wa primary na mtoto wake ana uzito wa kilo 2.8 na amejifungua kwa operesheni ambapo kwa mujibu wa n.prince ni kwamba alirubuniwa na kupewa huo ujauzito.
Sasa mtoto aliezaliwa atakua kapishana miaka kumi tu na mama yake mzazi.

Facebook comments brought to you by bongo6