About

Thursday, March 8, 2012

MGOMO WA MADAKTARI WAANZA TENA LEO

 
Baadhi ya wagonjwa waliopo kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili wakisubiri huduma katika Kitengo cha Mifupa (MOI), huku wakiwa hawajui hatma yao baada ya madaktari kuanza mgomo wao kwa mara nyingine tena leo. (Picha na Francis Dande)


Facebook comments brought to you by bongo6